Show Mobile Navigation

Tuesday, March 15, 2016

Sentensi za Diamond Platnumz kuhusu utambulisho wa msanii mpya kutoka WCB

Wasaf media - 12:07:00 AM
Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado ‘Harmonize’ na kuendelea kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Tanzania.
Sasa good news nyingine iliyotolewa na staa Diamond Platnumz  ambaye ni msimamizi wa label hiyo alisema kwamba March 15 watatangaza msanii mpya waliemsaini katika label yao.
Kupitia kwenye ukurasa wa twitter aliwataarifu mashabiki kwa kuandika..’Panapo Majaaliwa Jumatano Hii Wcb_Wasafi tutamtambulisha rasmi Kijana Mwingine Mpya…tafadhali wadau tunaomba sana Support zenu’>>> Diamond

Hapa ninayo interview ya Harmonize ambaye ni msanii wa kwanza kusainiwa katika label ya WCB akizungumza jinsi alivyokutana na Diamond Platnumz


0 comments:

Post a Comment